Kuhusu sisi

UFANISI COMPANY imesajiliwa tarehe 18/06/2023 namba ya usajili ni 545528 eneo la kazi ni Tanzania makao makuu ni kijiji cha Santamaria wilaya ya Kalambo mkoa wa Rukwa.

SHUGHULI 

UJENZI NA MALIZIAJI WA NYUMBA(FINISHING)

-kuchora Ramani,Kuseti msingi,Kujenga Kuta,Kupauwa,Lipu,Dali,Rangi,Malumalu na peva,Kutandika bomba za kupetishia waya za Umeme,Kusuka waya za umeme na Kutandika bomba za Maji

UTENGENEZAJI WA SAMANI (FUNITURE)

-Samani za ndani,Samani za Ofisini na Samani za mashuleni

KUHIFADHI NA KUTUNZA MAZINGIRA

-Usafi wa Ofisi za Umma,Usafi wa nyumba,Kuotesha na kupanda miti na Kutengeneza bistani katika ya nyumba na Ofisini

WATALAAMU

Kampuni inao watalaamu wa kutosha katika kazi zote hizi, wenye uwezo na uzoefu mkubwa katika kutekeleza shughuri zetu kwa makubaliano na wateja husika. muda na bei zetu ni makubaliano kati ya mteja na kampuni yetu.

KARIBU UJENGE NASI

UONGOZI

                

Wasiliana nasi